Unknown Unknown Author
Title: HUYU NDIE KOCHA MPYA WA MANCHESTER UNITED, GIGGS KUWA MSAIDIZI WAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MANCHESTER UNITED imethibitisha kuwa Louis van Gaal ndie Meneja wao mpya na Ryan Giggs atakuwa Msaidizi wake. Van Gaal amepewa Mkataba wa...
Louis van Gaal
MANCHESTER UNITED imethibitisha kuwa Louis van Gaal ndie Meneja wao mpya na Ryan Giggs atakuwa Msaidizi wake.
Van Gaal amepewa Mkataba wa Miaka Mitatu na ataanza rasmi kazi yake Old Trafford baada ya Netherlands kumaliza kampeni yao kwenye Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil ambako yeye ndie Kocha wao Mkuu.
Van Gaal ameshatwaa Ubingwa kwenye Ligi za Holland, Spain na Germany akiwa na Klabu za Ajax, Barcelona and Bayern Munich na pia kutwaa UEFA CHAMPIONZ LIGI Mwaka 1995 akiwa na Ajax.
Inatarajiwa Van Gaal ataijenga upya Man United kwa kusajili Wachezaji wapya kadhaa kabla Msimu mpya wa 2014/15 kuanza hapo Agosti 17.
WASIFU:
Jina Kamili: Aloysius Paulus Maria van Gaal
Kuzaliwa: 8 August 1951 (age 62)
Mahali: Amsterdam, Netherlands
Uchezaji, Pozisheni: Kiungo
Kazi ya sasa: Meneja Timu ya Taifa Netherlands
Timu ya Vijana: RKSV de Meer

Klabu: (Kwenye Mabano Magoli)
1972–1973   Ajax Mechi 0 (0)
1973–1977   Royal Antwerp Mechi 43 (7)
1977–1978   Telstar Mechi 25 (1)
1978–1986   Sparta Rotterdam Mechi 248 (26)
1986–1987   AZ Mechi 17 (0)
Jumla: Mechi 333 (34)
Umeneja:
1986–1988   AZ (Msaidizi)
1988–1991   Ajax (Msaidizi)
1991–1997   Ajax
1997–2000   Barcelona
2000–2002   Netherlands
2002–2003   Barcelona
2005–2009   AZ
2009–2011   Bayern Munich
2012– Netherlands
Mataji kama Meneja
AJAX
Eredivisie: 1993–94, 1994–95, 1995–96
KNVB Cup: 1992–93
Johan Cruijff Shield: 1993, 1994, 1995
UEFA Champions League: 1994–95
UEFA Cup: 1991–92
UEFA Super Cup: 1995
Intercontinental Cup: 1995
BARCELONA
La Liga: 1997–98, 1998–99
Copa del Rey: 1997–98
UEFA Super Cup: 1997
AZ
Eredivisie: 2008–09
Bayern Munich
Bundesliga: 2009–10
DFB-Pokal: 2009–10
DFB-Supercup: 2010

Tuzo Binafsi
World Soccer Manager of the Year: 1995
Onze d'Or Coach of the Year: 1995
Rinus Michels Award: 2007, 2009
Dutch Sports Coach of the Year: 2009
Die Sprachwahrer des Jahres (3rd place): 2009
German Football Manager of the Year: 2010
>>sokainbongo

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top