Msanii wa Kizazi kipya Heatmaker wa song ya My number one Diamond Platnumz hivi karibuni amefunguka mengi wakati akifanya mahojiano na Kituo cha Radio Mkoani Mtwara wakati alipokuwa na Show yake iliyopewa jina la "Heals and Ties" huku akifuatana na Mpenzi wake Wema Sepetu Msanii wa Filamu hapa Nchini Tanzania.
Waweza Bofya Play hapo Chini Kucheki nini alichokisema sitaki kumaliza Uhondo wote hapa hapa:
Waweza Bofya Play hapo Chini Kucheki nini alichokisema sitaki kumaliza Uhondo wote hapa hapa:
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.