CLUB YA REAL MADRID BADO GHALI ZAIDI DUNIANI, MANCHESTER UNITED YA KWANZA KWA ENGLAND

Klabu ya Real Madrid bado imeendelea kung'ang'ania kileleni katika orodha ya vilabu vyenye thamani zaidi duniani(Most Valuable Football Clubs) kwa mujibu wa jarida la Forbes.

Katika orodha hiyo klabu ya Manchester United imeendelea kuwa juu ya vilabu vya England licha ya kufanya vibaya msimu huu.

Manchester United imeshuka thamani kwa 11% tangu ilipomuajiri David Moyes kama kocha wake mkuu.Chini ya Moyes Manchester United imepata hasara ya £181.5m,huku majirani zao Manchester City wao wamepanda thamani kwa 25%......

Orodha kamili iko kama ifuatavyo:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post