BREAKING NEWS:GARI LA MAGAZETI YA MWANANCHI LAPATA AJALI NA KUUA MMOJA MKOANI MARA
byUnknown-
0
Gari la kusambaza Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi limegonga na kuua katika daraja la Kirumi mpakani mwa wilaya ya Rorya na Butiama Mkoani Mara leo asubuhi.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...