ANGALIA VIDEO:: MCHEZO WA MASHINDANO YA MAGARI WAZUA VILIO VYA MAMIA NJIRO, TAHADHARI PICHA ZINATISHA

Mbio za magari Tanzania
Duh mchezo wa mashindano yamagari umekuwa sio mchezo tena huko pande za  Njiro 
tazama video hio hapo chini kuona jinsi gari lilivyo uwa watu zaidi ya watatu  nakufinyanga watoto kama udongo. Hii ni kutokana na Tabia za wwananchi/watazamaji kukaa pembezoni mwa Barabara hizo wakati mashindani hayo yakiendelea.

Nadhani hii itakuwa fundisho kwa Wananchi na waandaaji wa Mashindano haya kuhakikisha Usalama wa watu hawa wakati wote wa Mashindano hayo. Kama pangekuwa na Kizuizi cha Kuzuia watu, Ajali hii na Vifo hivi vinge epukika.
TAHADHARI PICHA ZINATISHA

1 Comments

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

  1. Watu wanapopewa tahadhari wawe wanafata na sio kupuuzia iyo itasaidia kukuza michezo yetu tuipendayo ya magar na sio kupigwa marufuku.

    ReplyDelete
Previous Post Next Post