MTWARA HUDUMA ZAFUNGWA KUWAKUMBUKA WALIOFARIKI VURUGU ZA GESI LEO HII

Mtwara Gesi City
Ni siku ambayo Wananchi wa Mtwara wameamua kuiteua kama siku ya kukumbuka wale waliopoteza maisha kwenye sekeseke la Gesi mkoani Mtwara, ingawa haijawa rasmi lakini asilimia kubwa ya mkoa wa Mtwara huduma zimesitishwa ikiwemo daladala zinazotoka na kuingia katikati ya mji huo, maduka na baadhi ya huduma kama za sokoni.
Mtwara Gesi City

Stand ya Mtwara
STAND KUU YA MABASI YA MTWARA LEO..HAKUNA MABASI YANAYOTOA HUDUMA NA MADUKA YAMEFUNGWA WANAOMBOLEZA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE VURUGU ZA GESI MWAKA JANA.
Mtwara Gesi City

Mtwara Gesi City

Mtwara Gesi City

Mtwara Gesi City

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post