WASTARA,MONALISA,RIHAMA WAKWEA 'PIPA' KWENDA UINGEREZA KUFANYA MOVIE

Wastara, Monalisa na Riyama

Wasanii hawa wa Bongo Movie wako katika mbio ya kutoa Movie yao Mpya ambayo hadi sasa haijatambulika itakuwa na Jina Gani. Wasanii hao wameondoka siku ya jana kuelekea nchini Uingereza kwa ajili ya kufanya Shooting ya movie Hiyo, msanii mwingine aliyekuwa kwenye msafara huo ni Cloud.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post