Kupitia Mtandao wake wa Instagram Nicky Minaj Amepost Video ambayo inamuonesha Mdada mmoja akitetemesha makalio yaani Twerking na Kuandika huyo sio yeye bali ni Rafiki yake. Hii imekuwa ndio style kwa sasa wadada wengi kuweka Video za namna hii kwenye Acount zao huku wakifanya hivyo sasa sijui Lengo ni nini Mimi sijajua ila sio vibaya nawewe uka Icheki hapo Chini Jinsi Mdada Huyo anavyofanya yake...
Tags
HABARI ZA WASANII
