UKISTAAJABU YA MUSA.....!!! HILI NDILO SHINDANO LA KUMSAKA MWANAUME MWENYE MAUMBILE MADOGO YA KIUME.

Mataifa ya wenzetu kuna mambo wanayafanya ambayo yanaweza kukuacha mdomo wazi siku mzima, kama hili la shindano la kumsaka mtu mwenye uume mdogo.

Ni shindano linalotarajiwa kufanyika kwa mara ya pili Juni 14 mwaka huu litakalofanyika huko Brooklyn's Kings County Bar(New York) ambako mshindi atazawadiwa kitita cha pesa na kutunukiwa heshima. Kwa mara ya kwanza lilifanyika mwaka jana.

Pia hawa jamaa wanamsaka mwanadada Miley Cyrus ili awe mmoja wa waudhuliaji. Patakuaje sijui hapo!!!?
>>Huffington Post

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post