Msanii Snura ajikuta akinasa kwa deeJay wa Club Maisha ya Mbeya ''Dvj Hunter''
Unaambiwa Kila mmoja amechanganyikiwa na Penzi la mwenzake Kiasi cha Kudata Snura anasema Haijawahi Tokea Kupata Kidume cha Shoka kama DJ huyo.
Nae Dj huyo anasema balaa la Mama Huyo wa Majanga kitandani ni noumer hajawahi ona...!!!
>>>bongoclantz.com
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.