Unknown Unknown Author
Title: NEY WA MITEGO ANENA "VIDEO YA KUVALISHWA PETE SIWEMA NI YA MIAKA MIWILI ILIYOPITA"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
NEY WA MITEGO Siku ya leo Ney wa Mitego Amesikika Radio Clouds akiongelea ile habari iliyomake headlines week hii ya Mchumba wake kuon...
NEY WA MITEGO

Siku ya leo Ney wa Mitego Amesikika Radio Clouds akiongelea ile habari iliyomake headlines week hii ya Mchumba wake kuonekana kwenye Video akivalishwa Pete na Jamaa.... 
Ney Amesema kuwa hiyo Video ni ya Miaka Miwili iliyopita wakati huo hakuwa na Siwema na Kabla hajakuwa na Siwema Bi Dada huyo Alimwambia kwahiyo si kitu kigeni kwake..
Yeye anachojua ni kwamba sasa hivi Siwema ni Wake, huyo aliyeonekana anamvalisha Pete yalishaisha siku nyingi......

Kama hukuwahi kuiona Unaweza Bofya Hapa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top