Kutoka kwenye Instagram ya Msanii Chegge leo ameweka maneno ya Binti moja akimwambia mwingine kuhusu mahusiano yake na Chegge. Kwenye post ya Chegge anaonekana kutomfahamu kabisa binti huyu.
Chegge ameandika maneno haya: “Kupoteza time na kufungua AC feki ili kutibua Watu kwanza niushamba pili usilazmishe ukaribu na mtu ambae hata time ya kutaka kukujua hana sishangai sana coz najua kuna watoto walozaliwa kitandani na wengine walizaliwa chooni japo kwa bahati mbaya,sio kwamba inanisumbua bt nimekwita mshamba coz unajificha,nautaendelea kua mshamba coz naamini hutojitokeza utaishia kufanya ushamba wako mpk utapojigundua unaofanya niushamba basi utaacha”
>>Swahilitz.info
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.