Juzi katika Jimbo la Florida Nchi Marekani mwanaume mmoja ajulikanaye kama Steffen Edward alipandishwa kizimbani na mke wake, bi Anna James ambao wako kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa kutokana na mwanaume huyo kugoma kumpatia Unyumba mwanamke huyo kwa miaka miwili.
Madai ya bi Anna yalikuwa ni kwamba amechoshwa na tabia ya mume wake kugoma Kumpatia penzi kwa miaka miwili kwa sasa na hivyo kumsababishia mrundikano wa nyege isivyo kawaida.
Mwanamama huyo alidai kuwa kupewa unyumba ni haki yake ya msingi sana na hivyo siyo ombi, bali ni sharti mume wake kumpatia wakati wowote anapotaka.
Bwana edward amemgomea mke wake kwa miaka miwili sasa bila kumuingilia kimapenzi kabisa ingawa wamekuwa wakilala kitanda kimoja kwaa muda wote huu.
Mwanaume huyo aliamua kufanya hivyo kufuatia mgogoro ulioibuka kati yao pale alipozidisha kufanya mapenzi na mwanamama huyo. Bwana Edward alifanya mapenzi kuwa kama dozi kwani alikuwa anamuingilia mke wake hata mara sita kwa siku kitu kilichomfanya mwanake wake aanze kumgomea na kudai kuwa anachoka kuingiliwa kila wakati kama dawa.
Kutokana na hilo Bwana Edward aliamua kulipiza migomo kwa mwanake wake kwa kumpa adhabu ya kususa kufanya nae mapenzi kwa miezi 24, yaani miaka 2 na hivyo bi Anna kusindwa kuvumilia hili na kumfungulia mashtaka.
HAHAHAHAHAHA...HIKI NI KITUKO KWA SABABU HILI HALIWEZEKANI KWA WANAUME WA KIBONGO KWA MAANA HAWAWEZI KUKAA SIKU MBILI KWA AMANI.....!!!!
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.