Unknown Unknown Author
Title: MAHAFARI YA KUMI NA TISA YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA YAFANA MJINI MTWARA, ANGALIA PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wahitimu wa Chuo cha Utumishi katika mahafali ya Kumi na Tisa ambayo yalijumuisha vyuo vya Dar es Salaam na Mtwara yaliyofanyika katika M...
Wahitimu wa Chuo cha Utumishi katika mahafali ya Kumi na Tisa ambayo yalijumuisha vyuo vya Dar es Salaam na Mtwara yaliyofanyika katika Manispaa ya Mtwara Mikindani leo hii mgeni Rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Ndg Celina Kombani (MB).

Mgeni Rasmi Mh. Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Ndg Celina Kombani (MB) akiwahutubia wahitimu wa chuo cha cha Utumishi wa Umma Sherehe iliyofanyika Mkoani Mtwara ikijumuisha vyuo vya Dar es salaam na Mtwara. 
Naibu Mkuu wa Chuo Dr. Henry Mambo akitoa taarifa ya chuo kwa Mgeni rasmi Mh Naibu waziri Celina Kombani (MB).
Dr. Itika akitoa nenu la shukrani kwa Mgeni rasmi Naibu waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Mh. Celina Kombani, katika Mahafari ya Kumi na Tisa ya Chuo cha Utumishi wa Umma Mkoani Mtwara.
Viongozi wa Mkoa wa Mtwara walikuwepo katika Mahafari hayo ya Chuo cha Utumishi wa Umma Mkoani Mtwara leo Hii.
Mh. Naibu Waziri Celina Kombani akiwa katika Picha ya Pamoja na Wakufunzi wa Chuo hicho cha Utumishi wa Umma katika mahafari ya Kumi na tisa.
Wahitimu wakiwa katika Pozi tofauti mapema leo katiika Mahafari yao ya Kumi na tisa chuo cha Utumishi Mkoani Mtwara.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top