Mcheza sinema za bongo Movie Elizabeth Michael 'LULU' amekiri kuteswa na jini mahaba ndiyo maana amekuwa akishinda kujizuia kulala bila kufanya ngono hali ambayo anatamani kuiacha lakini anashindwa.Akizungumza na tovuti yetu ya TZA1961 Blog, Lulu alisema kwamba mara nyingi amekuwa akiota anafanya ngono na wanaume asiowafahamu na akiamka asubuhi huwa anajiskia mchovu na hali hiyo imechangia kuwa na mvutio zaidi kwa wanaume mbalimbali na wengi wao hujikuta ana 'do' nao.
"Hakuna anayeweza kukubali kufanya ngono kama kuku, mara nyingi nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na wanaume nisio wajua na baada ya kuuliza nikaambiwa ni jini mahaba na hili limekuwa likinitesa na limepelekea niwe na mvuto wa kupendwa zaidi na wanaume ambao baadhi yao huwa nashindwa kujizuia kuwapa uroda" alisema LULU
SOURCE: TZA1961 Blog
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.