Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND NA WEMA WATABIRIWA HILI HADI MWEZI AGOST LITATOKEA….!!! SOMA HAPA KUJUA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii n...

MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii na kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu watafunga ndoa.

clip_image0016_thumb2Wapendanao Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu katika pozi la kimahaba.

Akizungumza na Amani jijini Dar es Salaam juzikati, Hassan alisema amepiga mahesabu ya kinyota kwa wapenzi hao na kubaini kuwa, Agosti ndoa yao itafungwa mahali popote nchini Tanzania.

Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote.

wema-sepetu-2_thumb2Wema.

“Lakini nawapa angalizo muhimu, wakae wakijua kwamba kama ndoa hiyo haitatimia Agosti kutokana na sababu zao wenyewe, haitafungwa tena hadi mwaka 2016, kwa sababu lazima ndoa yao iwe kwenye mwaka unaogawanyika.”

clip_image001_thumb2Diamond.

Maalim Hassan aliendelea kuweka wazi kwamba, vikwazo vyote ambavyo vilikuwa vikiwazunguka wawili hao, kwa mujibu wa nyota zao, vimetoweka, akimaanisha havipo tena.

>>GPL

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top