Unknown Unknown Author
Title: TAHADHARI: LULU AMEKANUSHA KUHUSIKA NA UCHANGISHAJI WOWOTE WA PESA. ASEMA HAO NI MATAPELI WANATUMIA JINA LAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Uionayo hapo chini ni Moja ya account feki ya LULU, iliyopo Facebook hawa ni matapeli wanojaribu kuwaibia watu kwa kupitia mgongo wa lulu.. ...

clip_image001[14]Uionayo hapo chini ni Moja ya account feki ya LULU, iliyopo Facebook hawa ni matapeli wanojaribu kuwaibia watu kwa kupitia mgongo wa lulu..

Nukuu "Ninawashukuru wale wote waliongana na mimi siku ywa juzi, pia ninawashukuru wote mlionichangia mfuko maalumu nilioanzisha ili kuwasaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi. Jumla ya pesa iliyopatikana ni 3.7mil hadi kufika jana. lakini kwa wale wanaoendelea kuhitaji kutuma mchango wao ili kusaidia hawa watoto wetu waweza tuma mchango wao kwa tigo pesa namba 0714152844. na kwa wale ambao hawana tigo pesa, labda wana mpesa ama airtel money wasipate shida, namba hiyo hapo juu niliyotoa nitapokea kwa mitandao yote. hivi saa nipo katika majonzi mazito, nitashukuru mkiwa na mimi katika wakati mgumu nilio nao" Mwisho wa kunukuu.

Maneno haya waliandika matapeli hawa wanaotumia acount faki ya Elizabeth michale lulu ili kuwatapeli watu.clip_image001[12]

ALICHOKISEMA LULU: lulu amekanusha Vikali kabisa kushusu taarifa hiyo na kuwa yeye hausiki na matapeli hao kwa kuongezea amesema kuwa Hana Acount yeyote ya Facebook ukiachana na na PAGE tu ambayo ndiyo mmiliki halali, ambayo inafahamika kama ELIZABETH LULU MICHAEL.

Soma maelezo aliyoyatoa hapo chini.clip_image001

>>Tanzanianewz

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top