HAWA NDIO MA CEREBRITY WALIOBURUZWA KWA UZURI NA MUAFRIKA LUPITA NYONG'O KWA MWAKA 2014

luptia11
Hata Lupita mwenyewe hakuweza kuamini macho yake, aliona kama amependelewa aliposikia kuwa yeye ndio mwanamke mzuri kuliko wote hawa kwa mwaka huu, hii ni kutokana na takwimu na zoezi lilofanywa na moja ya jarida maarufu linaloheshimika huko marekani na dunia nzima, ni kama bahati vile mwaka huu kushinda kila tuzo, ila kwa hii list ya wapinzani wake, huwezi amini kama Lupita angefurukuta hadi kutajwa kuwa namba moja kwa uzuri kati ya warembo hawa wote.

2. Kerri Russellkeri-russell

3. Jenna Dewan-Tatum
Jenna Dewan-Tatum attending the Alice + Olivia Fall 2012 Presentation during Mercedes-Benz Fashion Week at Center 548 in New York City

4. Mindy Kaling
mindy-kaling_wide-b2c920af64f476d4f861de6a4cd4b4e08843f781-s6-c30

5. Pink
pink-jpg

6. Amber Heard
Amber-Heard-Smile

7. Gabrielle Union
gabrielle-union-62201

8. Molly Sims
Molly-Sims-Wallpaper_-

9. Stacy Keibler
stacy-keibler-pictures-347786

10. Kerry Washington
Kerry-washington_04

>>VIBE.CO.TZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post