Askari wa usalama barabani nchini Kenya Linda Okelo akiwa katika vazi linalobana.
Askari wa usalama barabani nchini Kenya Linda Okelo amejikuta akiwa kwenye wakati mgumu mara baada ya kupigwa picha akiwa amevaa vazi la kipolisi lisiloendana na maadili ya kipolisi.
Trafik huyo wa kituo cha polisi cha Kiambu amepewa onyo kali na Kamanda wa kaunta mara baada ya kuziona picha za trafiki huyo katika mitandao ya kijamii nchini Kenya.Picha hizo ambazo zinamuonesha akiwa katika vazi linalobana makalio yake.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.