WOLPER AFUNGUKA KUWA ANAOGOPA KUZAA…!!!

clip_image001Stori: Imelda Mtema
MKALI wa sinema za Kibongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa anaogopa kuzaa kwa sasa kwani bado hajajipanga sawasawa.

Akizungumza na paparazi wetu, Wolper alifafanua:
“Naogopa kuharakisha kuzaa, nisije nikazaa halafu mtoto akawa chokoraa, acha nijipange kwanza"…

CREDIT TO GPL

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post