WATU 10 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA YA GARI.

clip_image001Watu 10 jana walipoteza maisha katika ajali ya gari ambayo ilitokea KM65, Benin. Ajali hiyo ambayo ilitokea baada ya Lori la mizigo lenye namba ya usajili LSR 649 XK kugongana na Toyota Hiace ya kampuni ya usafirishaji  yenye namba ya usajili WWR 625 XA.clip_image001[6]Ajali kati ya Toyota Hiace na loriclip_image001[8]Miongoni wa watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo ni  Jane na Oyemwen Igbinoba ambao walikuwa katika maandalizi ya harusi yao iliyokuwa ifanyike mwezi ujao na majeruhi walifikishwa katika hospitali ya Shilo.
Roho za marehemu wote zipumzike kwa amani!

NA PAPARA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post