MASAI NYOTAMBOFU
Wachekeshaji mahiri wa hapa nchini Tanzania jumamosi ya tarehe 29 ya mwezi wa3 mwaka huu watawasha moto pande za ELA GOSPEL CLUB iliopo mbezi beach kituo cha shule ulizia MAKHOT HOTEL
Wasanii hao watakuwa pande zile kuanzia mida ya saa tatu usiku kwa ajili ya kumsindikiza rafiki yao ambaye anafanya muziki wa gospel hip hop anayefahamika kwa jina la Gazuko ambaye ameandaa tamasha lake alilolipatia jina la "THE NIGHT OF GAZUKO CONCERT"
KINYAMBE
Wachekeshaji hao wamesema kuwa siku hiyo wamejipanga vya kutosha kwa ajili ya kumsapoti rafiki yao
MASAWE MTATA WA ZE COMEDY YA EATV
...
Burudani hiyo itadondoshwa kwa kiingilio cha shilingi elfu tano tu kwa maelezo zaidi piga simu namba
0657985598
Tags
Matangazo tz