STORY KAMILI KUHUSU SHISHI BABY “SHILOLE” KUKIMBIA NA DENI LA WAJASIRIAMALI, MSIKILIZE AKIFUNGUKA

DSC_0118Hit Maker wa wimbo mpya wa Chuna Buzi Shilole inasemekana kakimbia na deni la wajasiriamali waliomtengenezea mavazi ya kiafrika baada ya kutengenezewa hakulipa deni na simu zao akawa hapokei,Soud Brown ana-amplify taarifa hizi.
Bonyeza play kusikiliza.
SOURCE:MILLARDAYO.COM

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post