Unknown Unknown Author
Title: MAELFU WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN GABRIEL TUPA, ANGALIA PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKE WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA ...

clip_image002MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKEclip_image002[6]

clip_image002[8]WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOAclip_image002[10]

clip_image002[12]KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MARA POUL KASABAGO,M NEC WA CCM CHRISTOPHER GACHUMA,M NEC WA BUNDA CCM...clip_image002[16]MWENYEKITI WA BAKWATA MUSOMA MJINI AKIWA NA ASKOFU MSONGANZILA WA KANISA KATORIKIclip_image002[18]RAIS WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KENETH SIMBEYA AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBIclip_image002[20]MTOTO WA MAREHEMU AITWAYE GABRIEL JOHN TUPA AKITOA SHUKURANIclip_image002[22]MJANE WA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALIKUWA MMOJA WA WAOMBOLEZAJIclip_image002[24]ASKOFU MSONGANZILA KIAGA MWILIclip_image002[26]SEHEMU YA WAOMBOLEZAJI WAKIENDA KUAGA MWILIclip_image002[28]WANAFUNZI WA SHULE PIA WALIHUDHULIAclip_image002[14]KUTOKA KUSHOTO MWAKILISHI WA CHANEL TEN AUGUSTINE MGENDI,GEORGE MARATU WA ITV NA FLORENCE FOCAS WA MWANANCHIclip_image002[30]MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA LIKIWA KWENYE GARI MAALUMU UKITOKA KWENYE MAKAZI YAKE KWENDA KANISANIclip_image002[32]MWILI UMEPOKELEWA LANGO KUU LA KANISA KATORIKIclip_image002[34]MKE WA JOHN TUPA WA PILI KUTOKA KUSHOTO AKIWA NA WANAFAMILIA KANISANI

MAELFU ya wananchi wa mkoa wa Mara pamoja na mikoa jirani wakiongozwa na viongozi wa Serikali,Dini na vyama vya Siasa wameuaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara John Gabriel Tupa aliyefariki juzi asubuhi akiwa wilayaniTarime kwa shughuli za kikazi.


Akitoa salamu za rambirambi za Serikali mkoani Mara,Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Mara Bartazal Kichinda alisema walipokea kwa masikitiko makubwa msiba wa ghafla wa mkuu wa mkoa wa Mara John Gabriel Tupa kwa kuwa msiba huo umekuja wakati mchango na usaidizi wa kiongozi huyo ukiwa unahitajika zaidi mkoani Mara.

PICHA NA HABARI KWA HISANI YA SHOMARI BINDA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top