#RECHO KIZUNGUZUNGU AAMUA KUANIKA TATOO YAKE MTANDAONI, ICHEKI HAPA

clip_image002[20]Msanii wa Miondoko ya Bongo fleva ajulikanaye kwajina la Recho naye  leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi Tatoo zake  alizozichora mwilini mwake.

Waweza Jionea mwenyewe hapa chini:clip_image002

clip_image002[7]Aliweza kumtambulisha Mchoraji wa Tatoo hizo kwa kuweka Picha yake pia katuka Ukurasa huo so kama nawewe wapenda waweza Mfollow na kuweza Kuchorwa..clip_image002[9]clip_image002

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post