Unknown Unknown Author
Title: RECHO AFUNGUKA NA KUSEMA SASA KAKUA, MATUKIO YA AJABU BAAASI….!! MSOME HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya kit...

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma.

clip_image001Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’.

Pasipo kuainisha matukio ya utoto aliyoyafanya, Recho alisema:
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi kazi ambazo naamini zitaniwekea heshima”.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top