Eti na huyu nae Atajiita mzazi na Mlezi anayetoa malezi bora kwa mwanaye kwa kumpatia mwanaye Pombe badala ya Vyakula/vinywaji vya kujenga mwili vyenye virutubisho vya kurutubisha mwili wake.
Kiukweli Inaumiza, tubadilike na Kumbuka Mtoto Umleavyo ndivyo akuavyo …..