MAJENGO YAPOROMOKA MJINI NEW YORK MUDA MFUPI ULIOPITA

clip_image001Majengo mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na wanne wakikimbizwa hospitali.clip_image001[6]Chanzo cha majengo hayo kuporomoka ni mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi ambapo askari wa zimamoto wakiwa na vifaa vya kisasa wako kwenye eneo la tukio kuendelea kuzima moto.clip_image001[8]

clip_image001[10]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post