Hii hapo chini ni picha ya Lulu Michael iloyonaswa hivi karibuni akiwa na Njemba huku kashikwa makalio na akipigwa mabusu..!! Hali hii ilishaanza kusahaulika kwa diva huyu wa bongo muvi kuwa na skendo za ajabu tangu atoke jela lakini kumbe athibitisha ule usemi wa wahenga MWENYE ASILI HAACHI ASILI….tazama mwanyewe hapo
Tags
HABARI ZA WASANII