Fashion hizi Zinaziidi Kuchukua Nafasi yake…Baada ya Rihana kuamua kutembea akiwa na Bikini sasa Kim Kardashian Naye atoka na Kivazi hiki kinacho muonesha Amevaa Kufuli rangi gani.
Sasa hii ni Hatari sana Kwa wale wabongo wenzangu wanaopenda Kucopy Fasion kutoka kwa Mastaa wakubwa Sasa Hivi tutarajie wabongo Nao watatoka na Hivi vivazi maana Tumeshashuhudia Photo shoot Kibao za Wasanii wakiwa na Vinguo Migongo wazi au Mipaja Wazi na Tumbo Pia Ila hii Ni Kali kuliko…..
Je tutafika kweli??? Tulinde Maadili ya Kitanzania Ewe Mwananchi Iga Vitu Vyenye Msingi Vingine viache Vipite Kushoto.
Tags
WATU MAARUFU