HUU NDIO MZIGO MPYA KUTOKA KWA PROFESOR JAY AKIMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ

clip_image002Hapo awali mtu mzima Daddy (Prof. Jay) aliwahi kutoa picha akiwa studio kwa #P-funk Majani akiwa pamoja na Diamond Platnumz, katika maelezo ya picha hizo Prof alisema tukae mkao wa kusikiliza"kolabo" kali kati yake na #DiamondPlatnumz ingawa hakusema jina la wimbo utaitwaje,

Hatimaye Prof. Jay ameachia Official Cover litalohusika katika track yake mpyaaaaa itayokujia hivi karibuni katika masikio yako akiwa kashirikiana na Diamond Platumz.  wimbo uliyoandikwa kwenye Cover hilo unakwenda kwa jina la "KIPI SIJASIKIA"

COMING SOON.....................clip_image002

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post