KAJALA AJIBU TUHUMA ZA KUJIUZA NCHINI CHINA, SAMA HAPA

kajalaStaa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja.

UZUSHI! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameitolea mbavuni skendo ya kujiuza nchini China inayowatafuna mastaa wengi wa kike Bongo.

Kajala ambaye mara kwa mara amekuwa akisafiri kwenda nchini China, alipozungumza na paparazi wetu aliruka viunzi na kufafanua:“China nakwenda kwa pesa zangu, nalipa dola 5000 (business class), nina dili zangu za kikazi na si kujiuza kama wapo wanaofanya hivyo ni wao lakini si mimi.”

>>bossngasa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post