Unknown Unknown Author
Title: IANGALIE HAPA PICHA HALISI ALIYEIPOST AGNES MASOGANGE INSTAGRAM JANA NA FOLLOWERS WAKE WAKIDHANI NI YEYE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Agnes Masogange amewasogezea kwa ukaribu ‘kiingiza hela chake’ aka Money Maker followers wake zaidi ya 23,000 wa Instagram… and it’s amazing...

Agnes Masogange amewasogezea kwa ukaribu ‘kiingiza hela chake’ aka Money Maker followers wake zaidi ya 23,000 wa Instagram… and it’s amazing!!clip_image001[6]That killer as*

Video queen huyo wa Msambinungwa, amepost picha hiyo inayomuonesha akiwa na gauni jeupe huku akiwa ameinama kidogo kwenye eneo la kunawia mikono (ama bafuni vile???) na huku ‘asset’ inayomwekwa mjini ikionekana kwa uzuri.

“lv u yall,” ameandika mrembo huyo na kuviacha vidume vikimeza mate kwa uchu. Bahati mbaya ni kuwa, picha hiyo sio ya kwake bali ni ya msichana wa Marekani aitwaye Crystal Renay.

Hii ndio picha halisiclip_image001

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top