T.I.D Akiwa na fans wake katika mkoa wa lindi alipopiga show ya nguvu ndani ya club moja maarufu mjini hapa aliamua kutokelezea na fans wake hao kama ionekanavyo kwenye picha hapo juu na chini. hiyo ilikuwa kabla ya show wakaona ni vyema kushow love na Mnyamaaaaaa……!!!!!!
Tags
HABARI ZA WASANII