AGNESS MASOGANGE KUMBE NI BIBI HARUSI MTARAJIWA, CHEKI PICHA AKICHORWA HINA

clip_image002 AGNESS MASOGANGE

Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD "masogange" naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao  huohuo wa instagram huku akijiita "bibi harusi mtarajiwa"

hii imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya Victoria Kiman kuachia picha zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia. kama hukuwahi kuziona BOFYA HAPA

Hizi ni baadhi ya Picha zake alizoweka katika akaunti yake hiyo ya Instagram

clip_image002[6]

clip_image002[8]

clip_image002[10]

clip_image002[12]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post