HII NDIO KAULI YA DIAMOND KUHUSU MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU, na KAULI YA WEMA BAADA YA ILE YA DIAMOND, SOMA HAPA

wema kiparaDiamond amefunguka hivi kwa kuweka picha hiyo hapo juu ya wema akiwa hana nywele yani kipara. Na kuandika Maneno haya: "So someone decided to go Bald...Lol! ��...what can i say, i love her either way...#Mahaba_niue #Kipara_ninyonge" clip_image003[6]

wema kipara.6Baada ya Post hiyo naye wema sepetu aliweza kujibu kwa kuweka post yenye picha hii hapa na kusema hivi : “I just luv you Naseeb wangu”

hakika hawawatu wanapendana kwa kweli tungoje Ndoa tu sasa kilichobaki……

Team wema nao hawakuwa nyuma kusindikiza furaha hiyo ya hao wawili na waliweza kupost dongo hili likiwa na Picha hiyo hapo Juu, Daaaaahhh ni shida kweli……clip_image003[8]

Kama hukuwahi kuziona picha za mwanzo alizopost wema sepetu akiwa katika muonekano huo mpya zicheki hapa:wema kipara.2

wema kipara.3

wema kipara.4

wema kipara.5

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post