FILAMU YA KWANZA BONGO ILIYOCHEZWA NA MASTAA KIBAO NA KUWEKEWA MASHARTI YA KUTAZAMWA NA WATU WAZIMA, ICHEKI HAPA

clip_image001Mtunisi, Kabuti Onyango na Jacklin Wolper.

“Za asubuhi wapendwa tukiwa tupo location kuandaa kz mpya toka Nice Entertainment napenda kuwakumbusha film ya who's bad ipo njiani kuja jiandae msisitizo ni Kwa wakubwa tu watoto haiwahusu thanks”. Maneno hayo yameandikwa na Kabuti Onyango the best Camera man in Tz lisaa limoja lililopita katika ukurasa wake wa Facebook,

(((LIKE PAGE YETU KWA PICHA ZAIDI))) 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post