CHUKUA DAKIKA YAKO MOJA KUITAZAMA VIDEO ILIYOIMBWA NA WASANII 19 BORA AFRICA, DIAMOND PLATNUMZ YUMO

clip_image001Zaidi ya wasanii watano kati ya wale 19 waliojumuika kutengeneza wimbo na video ya wimbo "Cocoa na Chocolate" kwa ajili ya kuhamasisha kilimo kwa vijana na kuwa kiimo kinalipa, wamekutana Lagos nchini Nigeria kwa ajili ya uzinduzi wa video hiyo, huku watagazaji mbali mbali kutoka mchi mbalimbali nao wakihudhuria uzinduzi huo akiwemo Fetty, Fettylicious.

Zaidi ya wasanii 19 kutoka katika nchi mbali mbali Africa wakiwemo Diamond (Tanzania) D'Bhanji na Femi Kuti (Nigeria), Fally Ipupa (DRC) na wengineo walikutana nchni South Africa na kutengenea wimbo wa pamoja unaohamasisha vijana kujihusisha na maswala ya kilimo na kuwaambia vijana wa kiafrica kuwa maisha yao ya baadae yako chini ya miguu yao wenyewe na katika mikono yao wenyewe.

Video hiyo imeshakamilika na alhamisi ya wiki hii itaonyeshwa katika TV station Mbali.

Tizama trailer ya video hiyo iliyotoka leo hii:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post