BLAST FROM THE 80's, WATU WOTE WAZAMANI TUKUTANE ISUMBA LOUNGE JUMAMOSI HII…!!

clip_image001Yes it's on the legend is back end of the month party (BLAST FROM THE 80's). Jumamosi hii ndani ya isumba lounge jollies club, vijana wa zamani tukutane tukumbukie bata walivyokuwa wakiliwa zamani. The legend is back non stop cd mpya kwa watu 50 wa kwanza, ukiweza piga pamba zako za zamani zawadi zita kusubiri wewe.

Special show toka kwa wakali wa zamani OMMY SIDNEY, BOSCO COOL J, ATHUMANI DIGA DIGA NA MANENO SUPER NGEDERE KUTOKA MOROGORO. On the one & two DJ JD AKA THE LEGEND IS BACK NA DJ FAST EDDY karibu sana.

Onyesha mapenzi na support yako kwa kushare hii katika facebook, twiter, instagram na mitandao mingine ya kijamii, shukrani

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post