Unknown Unknown Author
Title: BASATA LATANGAZA MAJINA YA WASANII WATAOWANIA TUZO ZA KTMA 2014, CHEKI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza (katikati) akiongea na waandishi wa habari Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) leo limet...

clip_image001Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza (katikati) akiongea na waandishi wa habari

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) leo limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania.

Akiongea na waandishi wa habari, Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza amesema zaidi ya mapendekezo 30,000 yalitumwa kwa njia ya sms na mtandaoni. Hata hivyo alidai kuwa nyimbo ‘Uzuri Wako’ ya Jux, Nimevurugwa ya Snura na Tema Mate Tuwachape ya Madee zimeondolewa kwenye mchakato huo kwa madai kuwa zimevunja maadili na hazifai kwa jamii ya Kitanzania.

Upigaji kura utaanza Aprili 1 hadi tarehe 31 Aprili na tuzo zitafanyika May 3 kwenye ukumbi wa Mlimani City.

Haya ndio majina ya washiriki kwenye tuzo hizo.

Wimbo Bora wa mwaka

Number One – Diamond

Joto Hasira – Jaydee

I love u – Cassim

Yahaya – Lady Jaydee

Kidela – Abdul Kiba

Muziki Gani – Nay wa Mitego

 

Wimbo bora wa Kiswahili – Band

Ushamba Mzigo – Mashujaa

Shamba la Bibi – Victoria sound

Chuki nini – FM Academia

Yarabi nafsi – Mapacha 3

Kiapo – Talent Band

 

Wimbo Afro Pop

Number One – Diamond

Joto Hasira – Lady Jaydee

Kidela – Abdul Kiba

I love u – Cassim

Tupogo – Ommy Dimpoz

Roho Yangu – Mavoko

 

Wimbo bora wa Hip Hop

Bei ya Mkaa – Weusi

Nje ya Box – Nick wa Pili & Joh Makini

Siri ya Mchezo – Fid Q

2030 – ROMA

Pesa – Mr Blue

 

Wimbo bora wa R&B

Listen – Belle 9

Closer – Vanessa Mdee

So Crazy – Maua Samma

Kama Huwezi – Rama Dee

Wa Ubani – Ben Pol

 

Wimbo bora wa kushirikisha/kushirikiana

Muziki Gani – Nay wa Mitego f/ Diamond

Joto Hasira – Lady Jaydee f/ Profesa Jay

Kidela – Abdul Kiba f/ Ali Kiba

Bila Kukunja Goti – Mwana FA & AY f/ J-Martins

Tupogo – Ommy Dimpoz f/ J-Martins

 

Wimbo bora wa Zouk Rhumba

Yahaya – Lady Jaydee

Yamoto – Mkubwa na Wanawe

Msaliti – Christian Bella

Nakuhitaji – Malaika Band

Narudi Kazini – Beka

 

Mwimbaji Bora wa Kike – Kizazi Kipya

Vanessa Mdee

Lady Jaydee

Linah

Maua Sama

 

Mwimbaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya

Ben Pol

Rich Mavoko

Diamond Platnumz

Ommy Dimpoz

Cassim Mganga

 

Msanii Bora Hip Hop

Fid Q

Stamina

Young Killer

Nick wa Pili

G-Nako

 

Msanii Bora Chipukizi

Young Killer

Walter Chilambo

Y Tony

Snura

Meninah

 

Mtayarishaji Bora – Kizazi Kipya

Marco Chali

Man Water

Mazoo

Sheddy Clever

Nahreel

 

Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya

Belle 9

Ben Pol

Diamond

Rama Dee

Rich Mavoko

 

Mtunzi Bora Hip Hop

Nikki wa Pili

Young Killer

ROMA

Fid Q

G-Nako

 

Mtumbuizaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya

Diamond

Christian Bella

Rich Mavoko

Ommy Dimpoz

Abdul Kiba

 

Video Bora ya Mwaka

Number One – Diamond

Yahaya – Lady Jaydee

Joto Hasira – Lady Jaydee

Uswazi Takeaway – Chege

Mama yeyo – GNako

 

Mtunzi Bora wa Mwaka Band

Christian Bella

Jose Mara

Chaz Baba

Nyosh El Saadat

Kalala Junior

 

Bendi ya Mwaka

FM Academia

Mapacha Watatu

Twanga Pepeta

Akudo Impact

Malaika Band

Mashujaa Band

 

Kikundi Cha Mwaka – Kizazi Kipya

Makomandoo

Navy Kenzo

Weusi

Mkubwa na Wanawe

 

Kikundi cha Mwaka – Taarab

Jahazi Modern Taarab

Mashauzi Classic

Five Stars

 

Mwimbaji Bora wa Kike – Taaarab

Khadija Kopa

Isha Ramadhani

Khadija Yusuph

Mwanahawa Ali

Leyla Rashid

 

Mwimbaji Bora Kiume – Taarab

Mzee Yusuf

Hashimu Saidi

Mohamed Ali aka Mtoto Pori

 

Mwimbaji Bora Kiume – Bendi

Jose Mara

Kalala Junior

Charz Baba

Khalid Chokoraa

Christian Bella

 

Mtunzi Bora Taarab

Mzee Yusuf

El-Ahad Omary

El-Khatib Rajab

Kapten Temba

Sadiki Abdul

Nassoro Seif

 

Rapper bora wa mwaka – Bendi

Kitokololo

Chokoraa

Ferguson

Canal Top

Totoo Ze Bingwa

 

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab

Enrico

Abuu Mwana ZNZ

Bakunde

 

Mwimbaji Bora wa Kike – Bendi

Luiza Mbutu

Catherine Cindy

Ciana

 

Wimbo bora wa reggae

Niwe Nawe – Dabo

Hakuna Matata – Lonka

Tell Me – DJ Aron f/ Fidempha

Bado Nahitaji – Chikaka f/ Bless P & Lazzy

Bongo Reggae -Warriors from the East

Wimbo bora wa Ragga/Dancehall

Nishai – Chibwa f/ Nuru

Sexy Girl – Dr Jahson

My Sweet – Jetman

Feel Alright – Lucky Stone

Wine – Princess Delyla

 

Wimbo bora wa Afrika Mashariki

Tubonge – Jose Chameleone

Nakupenda Pia – Wyre f/ Alaine

Badilisha – Jose Chameleone

Kipepeo – Jaguar

Kiboko Changu f/ Radio and Weasel

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top