AIBU! KIJANA HUYU KANASWA AKIIBA MSIKITINI

clip_image001Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa kuiba viatu misikiti, aliyejitambulisha kwa jina la Abubakar Abuu (32) akijieleza mbele ya waumini wa msikiti wa Mwenge baada ya kunaswa kaiba sendoz za muumini.clip_image001[6]Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa viatu msikiti katika picha za matukio tofauti ikiwamo akiwa na viatu alivyoiba znazoonekana mwishoni kulia.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post