Unknown Unknown Author
Title: WAJUE WATOTO WA WASANII HAWA SITA WAKALI HAPA BONGO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wanasemaga mtoto ni neema katika familia, leo tunakuletea mastaa sita wa Muziki wa Bongofleva na watoto wao pata kuwaona hapa wa mara ya kwa...

Wanasemaga mtoto ni neema katika familia, leo tunakuletea mastaa sita wa Muziki wa Bongofleva na watoto wao pata kuwaona hapa wa mara ya kwanza kama aujawahi kuwaona watoto wa Mastaa hawa wa Muziki wa BongoFleva Tanzania

Mr.blueMR BLUUMr.blue na mchumba wake waheeda wamekua pamoja kwa miaka 10 sasa na along the way walipata mtoto anayeitwa kherry.“it feels great to be a father , in fact the greatest moment in my life was the day kherry was put on my arms. Nilikua na hisia zisizoelezeka”. Blue alisema haya kwenye interview tuliyofanya nae.

Mwana FAMWANA FAMwana Fa ana mtoto wa kike anayeitwa Maleeka ambaye alitimiza miaka miwili mwaka jana.“Nimekuwa very careful, I am worried, siko reckless kama nilivyokuwa. Naogopa nina mtu ananitazama na sitaki kumwangusha. Watu wengine tumekua kidogo juu juu sana, sitaki maisha yangu ambayo mimi nimekua impitie mwanangu hata kidogo,” alisema FA kwenye birthday ya mtoto wake.

ShettashettaShetta anamtoto mmoja wa kike kwa jina la Qayllah. Alizaliwa mwaka 2012 na tumeanza list hii na shetta kwasababu jamaa aliamua kumpa mtoto wake gari aina ya Opa mwaka 2003 rangi ya Silver siku chache baada ya kuzaliwa.”Nisingependa mwanangu akodishiwe Tax au kudandia lift kwenye gari za watu wakati wa kupelekwa clinic na sehem mbalimbali….hivyo ndio maana nikaamua kujidhiki na kumnunulia binti yangu gari hii na pia kuudhihirishia uma ni kiasi gani nampenda na kumthamini mwanangu kipenzi” alisema shetta.

 

Ali Kibaally kAli kiba naye ana mtoto wa kiume ingawa hapendi sana kumzungumzia kwenye mitandao.

Gelly wa rhymesgerryGelly wa rhymes naye ana mtoto wa kike anayeitwa queen

BarnababarnabaBarnaba naye anamtoto wa kiume anayeitwa steven na kama ulikua haujui jina alilompa ni kwa ajili ya kumuenzi mkali wa bongo movies marehemu steven kanumba.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top