Watu wengi wanamjua Nick Minaj akuna asiyemua mpaka watoto wadogo ukiwauliza kuhusiana na Msanii Huyu watakwambia wanamjua, Nick Minaj amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa machachari yake kwenye video na ata Show zake pasipo kusahau Style zake za kuvaa hasa mawigi ya kila aina na nguo zenye rangirangi amabazo humfanya aonekane tofauti kabisa na katika muonekano mwingineNicki Minaj tangu anaanza muziki anafahamika kwa mawig yake ya rangi rangi ya kila aina. Hata hivyo, Nick anataka kuwaonesha watu kuwa hata kama akibaki na nywele zake, bado ataonekana mrembo tu. Rapper huyo wa YMCMB, ametumia mtandao wa Instagram kuonesha picha za muonekano wake mpya wakati akipiga picha za matumizi maalum. Je Unaweza Kutuambia Muonekano Huu Mpya wa Nick Minaj Umemfanya Apendeza au Kuchukiza.. Just Tell Us How She IS Look Like kwa Kuacha Comment zako hapo chini
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.