NEY WA MITEGO AMNUNULIA MPENZI WAKE GARI. LICHEKI HAPA

NEYKupitia instagram Ney wa mitego amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake na kuandika maneno haya ‘Zic iz 4u bby…zawadi yako my superwomen…chama kubwa 966 Mwezi wa 7 ntakununulia prado sawa?! Hahaha kaa Umooooo @truegal966 ‘dsw

GARI NEY

Original Source: millardayo.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post