Sherehe ya Harusi ya John Kasuka na Salome Joseph iliyofungwa katika kanisa la KKKT Kilwa Masoko mkoani Lindi na baadaye mnuso wa nguvu katika ukumbi wa PEC hotel(kwa sultan)
Wadau John Kasuka na Bi salome Joseph wakiwa na nyuso za furaha
baada ya kumeremetaKasuka na Salome wakiwa katika Taswira ya kumbukumbu na
wanakamati walioandMnuso huo,,BIG UP
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa Addoh
Mapunda ambae ni mwajiri wa bwana harusi akiwapongeza vijana wakeGlobu ya Jamii inawapongeza na kuwatakia maisha ya heri na ya furaha na yenye watoto kibao.
Tags
Matangazo tz