Kupitia ukarasa wake wa Facebook rapper Mwana Fa ameachia picha hiyo akiwa studio na msanii Diamond.
Hii inafikiriwa kuwa wawili hao kuna kitu wanakipika kwa pamoja ilikuja kuwapa radha mashabiki wao wa muziki nchini na Duniani kote.
KAA MKAO WA KULA KUTOKA KWAO
Tags
HABARI ZA WASANII