KAJALA MASANJA ALISHWA KITU CHENYE SUMU, HICHI NDICHO ALICHOKISEMA

Mwanadada mwigizaji Kajala juzi alikumbwa na dhahama ya kusikitisha baada ya kulishwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni sumu alipokuwa kwenye show ya msanii wa muziki kizazi kipya Izzo Business huko. Kajala MasanjaAkielezea Zaidi kajala alisema…‘’Jana (juzi) nilivyokuwa kwenye shoo ya izzo ghafla nikaanza kuumwa nikapelekwa home halafu nikaenda hospitali. Nilivyo pimwa nikakutwa nimekunywa kitu chenye sumu lakini namshukuru mungu naendelea vizuri asante mungu kwa kila jambo...”

Hali ya kajala ni nzuri na ameruhusiwa kutoka hospitalini sasa. Pole sana Kajala

CREDIT : BONGOMOVIES

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post