TEAM CHAGABARBIE YAZIDI KUFICHUA MAMBO.. UNAAMBIWA HUYU NDIO MCHUMBA WA MWASITI

clip_image001Nina nukuu " baby ake mtu @mwasiti limao nasiki HUYO mwanamuziki wenu wakuitwa mwasiti hazikabi mapenzini na huyu @sammisago, ni ubuyu tu..

Wamekaa miaka miwili sasa na zaidi na wakati wa basidei ya huyu kaka mwaka huu mama wenu wa serebuka alimshushia bonge la pati huyu mr fridei naiti, hehhehehhehehe halafu wale wanamuziki wa dutigita wakamwimbia hapi basidei shemej,

Ubuyu huo huyu nyepesi (zitto kaguswa hapo) wala hatoki na huyo mwasiti ila babaa sam misago ndo anataka kuoa kabisa, jamaa kashikwa kashikika......mwisho wa lmaoclip_image001[6]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post