Unknown Unknown Author
Title: TAZAMA VIDEO:: FC BARCELONA WAKIIADHIBU REAL SOCIEDAD KWENYE COPA DEL REY
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuna kila sababu za Barcelona na Real Madrid zikakutana kwenye mchezo wa fainali ya Copa del Rey baada ya wasakata kabumbu hao wa jiji la Ba...

clip_image001Kuna kila sababu za Barcelona na Real Madrid zikakutana kwenye mchezo wa fainali ya Copa del Rey baada ya wasakata kabumbu hao wa jiji la Barcelona kuwachapa Real Sociedad waliokuwa pungufu mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Copa del Rey uliopigwa kwenye dimba la Nou Camp.

Katika mchezo huo, mlinzi Javier Mascherano alinusurika kuadhibiwa baada ya kumvuta jezi Carlos Vela muda mchache kabla Sergio Busquets hajaifungia Barca bao la kuongoza.

Badala yake mchezaji wa Sociedad Inigo Martinez alioneshwa kadi nyekundu kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana.

Yatazame Magoli yote katika Mechi hiyo Hapa


Barcelona 2 - 0 Real Sociedad | Copa del Rey... by LaLigaAction

This game twisted in a two-minute period just before half-time, sending what had been an intriguingly poised Copa del Rey tie spinning out of Real Sociedad’s reach.

It was two minutes which spoiled the match not only for neutrals, but also for Manchester City manager Manuel Pellegrini, ahead of his side’s Champions League clash with Barcelona.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top