SASA KAACHONJO…!! LADY JAYDEE AANZA MAFUNZO YA KARATE, CHEKI HAPA AKIJIFUA

clip_image001[5]Mwanadada Lady Jaydee a.k.a Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalo kuwa lakijinga mbele yake ili akabiliane nalo.jide komandoJide akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipyaaaaaaaa kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo. clip_image001

clip_image001[5]

clip_image001[7]

clip_image001[9]

clip_image001[11]

clip_image001[13]

Sasa Mtandao huu unakupa rai, Kama Una bifu na huyu mwanamuziki a.k.a Joka Anaconda basi tafuta bunduki maana kwa ngumi atakutoa knock-out…..!!!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post